Search

162 results for Fidelis Butahe :

  1. Mambo magumu zaidi kwa Sabaya

    Wakati aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya akianza maisha mapya mahabusu kutokana na mashtaka yanayomkabili kutokuwa na dhamana, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa imesema...

  2. SUGU: Tumepitia mazingira magumu

    Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini kwa tiketi ya Chadema, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameanza kazi vizuri, huku akiomba mambo yaliyotokea kabla ya kiongozi huyo...

  3. Sugu: Dhamira ya Rais Samia inaturudisha nyuma

    Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini kwa tiketi ya Chadema, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu amesema dhamira ya Rais wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan imewafanya watu wa kada mbalimbali kuweka pembeni...

  4. Lissu: Yakifanyika haya naweza kurejea Tanzania

    Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameomba kuhakikishiwa mambo sita ili aweze kuanza safari ya kurejea nchini akitokea Ubelgiji anakoishi tangu Januari mwaka 2018.

  5. Panga la Rais Samia balaa

    Panga la Rais Samia Suluhu Hassan ni balaa. Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na kiongozi mkuu huyo wa nchi kupangua makatibu wakuu wa wizara, naibu makatibu wakuu na wakuu wa taasisi mbalimbali...

  6. Matarajio ya wananchi katika Bajeti

    Wakati Serikali ikiwasilisha bajeti yake ya mwaka wa fedha wa 2019/20 inayofikia Sh33 trilioni leo jioni, baadhi ya Watanzania wameelezea matarajio yao katika bajeti hiyo ya tatu katika utawala...

  7. Bunge lamkataa Profesa Assad, lamkubali CAG

    Wakati sakata la Bunge kutofanya kazi na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad likitikisa kila kona, Spika Job Ndugai ameweka msimamo wa chombo hicho. Amesema,...

  8. Profesa Mbarawa alivyohitimisha mjadala wa ATCL

    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa jana alitumia dakika 35 kujibu hoja za wabunge kuhusu utendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL).

  9. Mbunge CCM ajilipua kwa hoja nane

    Bunge limekiri kupokea barua ya mbunge wa Nzega Mjini (CCM), Hussein Bashe anayekusudia kuwasilisha hoja binafsi inayobeba mambo manane, yakiwamo mashambulio ya risasi, kusinyaa kwa demokrasia...

  10. Vyombo vya habari vinatoa mwanga uletao wepesi wa kufikiri

    Wasomaji wawili wa gazeti hili ndio wachangiaji wakuu wa maoni katika safu hii leo. Mmoja ni Mgengeli Deo anayeuliza: “Nimekuwa nikiona habari na picha za washindi au waliofanya vizuri katika...

Page 1 of 17

Next